Kialladian

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kialladian ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waalladian. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kialladian imehesabiwa kuwa watu 23,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kialladian iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kialladian kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.