Kilame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilame ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walame. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kilame imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilame iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilame kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.