Kieloyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kieloyi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waeloyi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kieloyi imehesabiwa kuwa watu 25,000. Kuhusu uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, wataalamu hawajakubaliana kama kuainisha Kieloyi katika kundi la Kiidomoidi au la Plateau.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieloyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.