Kiebira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiebira ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waebira. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kiebira imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiebira iko katika kundi la Kinupoidi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiebira kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.