Kilutos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilutos ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad inayozungumzwa na Walutos. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kilutos nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 17,000. Pia kuna wasemaji 1980 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilutos iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilutos kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.