Kinawdm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinawdm ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Ghana inayozungumzwa na Wanawdm. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kinawdm nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 146,000. Pia kuna wasemaji nchini Ghana; idadi yao haijahesabika. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinawdm iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinawdm kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.