Nassir Nuh Abdi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nassir Nuh Abdi ni mwanasiasa kutoka Kenya. Yeye ni mwananchama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Bura katika Bunge la Kumi la Kenya katika uchaguzi uliofanyika mwaka wa 2007. Amezaliwa katika eneo la bangale,tana river


Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nassir Nuh Abdi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.