Kitiv

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitiv ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wativ. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kitiv nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni mbili. Pia kuna wasemaji wachache nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitiv iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitiv kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.