Kimbuko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbuko ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambuko. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimbuko imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbuko iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbuko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.