Mary Nagu
Mary Nagu (amezaliwa tarehe 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Hanang katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Mengi kuhusu Mary Nagu (3 Juni 2008). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |