Kisongomeno (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisongomeno ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasongomeno. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kisongomeno imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisongomeno iko katika kundi la C90.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisongomeno (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.