18 (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
18
18 Cover
Albamu ya Moby
Imetolewa 14 Mei 2002
Urefu 71:15
Lebo Mute - STUMM 202
V2 Records/ BMG


18 ni albamu ya 2002 iliyofanya na msanii wa muziki wa mwenendo wa elektroniki Moby. Albamu hii inaashiria Moby akifuata mkondo wake wa awali katika albamu ya Play, ikishirikisha rekodi za nyanja za zamani za negro spirituals na kuziunganisha pamoja na midundo taratibu ya ‘’Dance’’. Hata hivyo, “18” ina tone ya huzuni zaidi ya Play . Albamu hii pia inaonyesha Moby akiingia katika mwenendo wa alternative rock ("We Are All Made of Stars", "Great Escape", "Extreme Ways", "Harbour"). Wimbo wenye mafanikio zaidi katika albamu hii ni single ya "We Are All Made of Stars", ambayo ilifika nafasi ya 11 katika chati za UK. Albamu hii inashirikisha wasanii spesheli kama Azure Ray, MC Lyte, Angie Stone, na Sinéad O'Connor. Mkusanyiko wa sehamu ya A na B na Video zilitolewa mwaka mmoja baada ya kutolewa kwa albamu hiyo katika 18 B Sides + DVD.

Albamu hii ilianzia #1 katika chati za UK (Huk ikishinda ile ya Queen ya The Platinum Collection kutoka nafasi ya kwanza) na katika mataifa mengi ya Uropa. Pia ilifikia kilele katika nafasi ya 4 katika Billboard 200.

Mauzo yake yaliipa kiwango cha dhahabu na platinum katika zaidi ya mataifa 30 na iliuza zaidi ya nakala milioni 4 katika dunia nzima, ambalo lilikuwa jaribio bora sana kwa mwenendo wa elektroniki ambao haujulikani na wengi, ingawa idadi ya mauzo yake haikufikia hata nusu ya mauzo ya mtangulizi wake, blockbuster Play.

Mpangilio wa Vibao[hariri | hariri chanzo]

  1. "We Are All Made of Stars" – 4:32
  2. "In This World" (akimshirikisha Jennifer Price) – 4:02
  3. "In My Heart" – 4:36
  4. "Great Escape" (akimshirikisha Azure Ray) – 2:09
  5. "Signs of Love" – 4:25
  6. "One of These Mornings" (akimshirikisha Patti LaBelle) – 3:12
  7. "Another Woman" – 3:56
  8. "Fireworks" – 2:13
  9. "Extreme Ways" – 3:57
  10. "Jam for the Ladies" (akimshirikisha MC Lyte & Angie Stone) – 3:22
  11. "Sunday (The Day Before My Birthday)" – 5:09
  12. "18" – 4:28
  13. "Sleep Alone" – 4:45
  14. "At Least We Tried" (akishirikisha Freedom Bremner) – 4:08
  15. "Harbour" (akishirikisha Sinéad O'Connor) – 6:27
  16. "Look Back In" – 2:20
  17. "The Rafters" – 3:22
  18. "I'm Not Worried at All" – 4:11

Ngoma za Single[hariri | hariri chanzo]

Kuhusu Single
"We Are All Made of Stars"
  • Imetolewa: 29 Aprili 2002 (UK)
  • Nafasi katika Chati:
"Extreme Ways"
  • imetolewa: 19 Agosti 2002 (UK)
  • Nafasi katika Chati:
"In This World"
  • Imetolewa: 4 Novemba 2002 (UK)
  • Nafasi katika Chati:
"In My Heart"
"Sunday (The Day Before My Birthday)"
  • imetolewa: 3 Machi 2003 (UK)
  • Nafasi katika Chati:
    • Haikuingia kwa chati
"Jam for the Ladies"
  • Imetolewa: 2003
  • Nafasi katika Chati:
    • Haikuingia

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Matumizi ya wimbo katika utamaduni maarufu[hariri | hariri chanzo]

  • Wimbo "One Of These Mornings" ulitumiwa mwanzoni na mwishoni mwa Torchwood katika sehemu ya "To the Last Man," na pia katika sehemu chache za Without a Trace na pia katika filamu ya Miami Vice (2006).
  • Wimbo "Extreme Ways" ulikuwa katika mwisho wa kila sehemu ya tamthilia ya Bourne movie.
Alitanguliwa na
The Last Broadcast ya Doves
UK number one album
25 Mei 2002 – 31 Mei 2002
Akafuatiwa na
Destination ya Ronan Keating
Alitanguliwa na
Laundry Service ya Shakira
Australian ARIA Albums Chart Albamu nambari moja
20 Mei – 26 Mei 2002
Akafuatiwa na
The Eminem Show ya Eminem