What About Now

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“What About Now”
“What About Now” cover
Single ya Daughtry
Aina Alternative rock, pop rock
Urefu 4:10
Studio RCA/19 Entertainment
Mtunzi Ben Moody, David Hodges, Josh Hartzler
Mtayarishaji Howard Benson

"What About Now" ni single ya saba kutoka kwa bendi ya Marekani inayoitwa Daughtry. Mashairi ya wimbo huu yaliandikwa na Ben Moody, akishirikiana na David Hodges wate wakiwa wanachama wa Evanescence pamoja na Josh Hartzle ambaye amemuoa Amy Lee mwimbaji kiongozi wa Evanescence.Ni moja kati ya nyimbo chache ambazo hazijaandikwa kwa msaada wa Chris Daughtry. Wimbo huu ulitangazwa kama single yao iliyofuata katika wavuti yao.[1] Ilitolewa rasmi nchini Marekani tarehe 1 Julai 2008.[2]

Video ya Muziki[hariri | hariri chanzo]

Video ya muziki huu iliongozwa na Kevin Kerslake, na kutoka tarehe 11 Julai kupiti katika studio za FNMTV Studio.[3] Video hii inaweza kuangaliwa katika wavuti ya bendi hii. Video inahusu masuala ya jamii, ikionesha maeneo kadhaa yaliyoathiriwa na umaskini, majanga ya asili na vita, pamoja na mambo mengine. Maoni mbalimbali yanatolewa kuhusu video hii na video hii inauliza maswali kwa watazamaji wake.Baadhi ya watu wanaotoa misada katika majanga haya wanaoneshwa na aina ya msaada wanaotoa na majina yao yakionakana, Video inaonesha taa ya balbu ikiwa haijawashwa ikiashiria kuwa, bado hatujachelewa kufanya mabadiliko. Video inaishia kwa kuuliza swali kwa watazamaji "Vipi kuhusu sasa?" maneno haya yakitokea karibu na taa ya balbu inayowaka. Pia kuna baadhi ya picha zikionesha wanamuziki wa bendi hii wakiwa katika maonesho ya moja kwa moja.

Matumizi ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Wimbo huu ulitumika tarehe 21Februari 2008, katika sehemu ya 7 ya American Idol katika jumla ya diski 2. Pia wimbo huu uliimbwa na bendi hii nchini Uganda katika safari yao ya Afrika katika tamasha la tarehe 9 Aprili 2008, lililoitwa Idol Gives Back. Kundi hili liliimba wimbo huu katika kujiji wakiwa wamezungukwa na watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakiwa wanaimba nao, na pia katika video ya wimbo huu, kuna picha za tamasha hili Wimbo huu pia ulitumika katika sehemu tofauti tofauti katika tamasha la X Factor la nchini Uingereza mwaka 2009. Tarehe 11 Desemba 009, wimbo huu uliimbwa katika tamasha la Nobeli lwa heshima ya Raisi wa Marekani Barack Obama

Kutoka[hariri | hariri chanzo]

Eneo Tarehe Muundo
United States 1 Julai 2008 CD, digital download
United Kingdom Oktoba 2009

Orodha ya matamasha[hariri | hariri chanzo]

Tamasha la "Idol Gives Back" na wimbo wa "What About Now" ziliwekwa katika iTunes na kushika nafasi ya 8# katika chati ya nyimbo bora ya Billboard na kuufanya wimbo huu kuongoza katika nyimbo za kundi hili kwa kuwahi kushika nafasi ya juu zaidi hadil hii leo napia wimbo huu ulishika nafasi ya nne katika nyimbo bora 100. Pia ulifanikiwa kuingia kufika katika nafasi ya #7 katika chati ya nchini Canada ya Canadian Hot 100, na kuufanya wimbo huu kuwa wimbo wa nne kuwahi katika chati hii. Wimbo huu ulishika nafasi hizi baada ya zaidi ya wiki mbali tangu kutoka kwake. Baada ya kutoka kwa wimbo wa "What About Now" wimbo huu umekuwa wimbo wa tano kuingia katika chati ya Adult Top 40, na kushia katika nafasi ya #3 Wimbo huu unaonekana kuendele kuwa bora hasa ukulinganisha na nyimbo nyingine zinazoingia katika chati hii.[4]. Katika chati ya Hot Adult Contemporary Tracks wimbo huu ulishika nafasi ya #3. Ni wimbo wa tatu kufika katika chati hii, na hiikulifanya kundi hili kuwa kundi pekee la muziki wa rock kuwahi kufikisha nyimbo tatu mfululizo katika chati hii. Wimbo huu pia uliingia katika nyimbo ishirini bora katika nyimbo zanazopigwa kwenye redio, kwa kushika nafasi ya #19 mwezi wa 10, 2008. Wimbo huu uliingia katika chati ya muziki ya Uingerwza mwezi Mei mwaka 2009 baada ya kuchezwa katika tamasha la Britain's Got Talent, na mwezi Agasti 2009 wimbo huu uliingia tena baada ya kuchezwa katika tamasha la Uingereza la Factor

Tarehe 4 Oktoba 2009, wimbo huu uliingia tena katika chati ya single ya Uingereza ya nyimbo arobaini bora na kushika nafasi ya #39.

Chati (2008) Ilipata
nafasi
Canadian Hot 100 17
U.S. Billboard Hot 100 18
U.S. Billboard Pop 100 21
U.S. Billboard Hot Adult Top 40 Tracks 3
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 3
Chart (2009) Peak
position
Irish Singles Chart 30
UK Singles Chart 11

Toleo la Westlife[hariri | hariri chanzo]

“What About Now”
“What About Now” cover
Single ya Westlife
Muundo Pop rock
Mtayarishaji Steve Robson
Mwenendo wa single za Westlife
"Something Right"
(2008)
(26)
"What About Now"
(2009)
(27)

}}

"What About Now" pia ulirekodiwa na kundi la Westlife katika albamu yao ya, Where We Are. na ulitoka rasmi tarehe 25 Oktoba 2009.[5] Mtayarishaji wa wimbo huu akiwa Steve Robson. Tarehe 25 Oktoba kundi hili liliimba wimbo huu katika tamasha la X-Factor, na pia waliimba wimbo huu katika televisheni ya GMTV, na kufanya mahojiano baada ya kuimba. .[6] On 27 Novemba Westlife performed "What About Now" on The Late Late Toy Show.[7]

orodha ya Matamasha[hariri | hariri chanzo]

Baada ya kutoka, toleo la Westlife lilishika nafasi ya #2 katika chati ya Single ya Ireland na kuchukua nafasi ya Alexandra Burkre na kuja kutolewa na wimbo wa Cherly Cole na wimbo wa Fight For This Love wimbo uliokaa kwa wiki mbaili katika nafasi ya kwanza. .[8]

Chati (2009) Ulipata
nafasi
Irish Singles Chart 2[9]
UK Singles Chart 2[10]
European Singles Chart 7[11]
Slovakian Airplay Chart 81
Swedish Singles Chart 13

Video ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Gazeti la Uingereza la Daily Mirror lilitoa makala kuhusu vido ya wimbo huu. ."[12]. Tarehe 30 Oktoba 2009, video ya sekunde 20 ilioneshwa katika kipindi cha The One Show.[13] Video kamili ilitolewa katika wavuti ya bendi hii na sehemu za muziki za Uingereza tarehe 6 Novemba 2009 Iliongozwa na Philip Andelman na picha za video zilipigwa katika eneo la Vatnajökull katika eneo la Iceland.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "What About Now" - 4:11
  2. "You Raise Me Up" (Live at Croke Park) - 5:00

Historia ya Kutoka[hariri | hariri chanzo]

Eneo Tarehe Muundo Studio
Ireland 23 Oktoba 2009 Digital download, CD single RCA Records
Ufalme wa Muungano 25 Oktoba 2009 Digital download Syco Music, RCA Records
26 Oktoba 2009 CD single
Ujerumani[14] 27 Oktoba 2009 Digital download Sony Music Entertainment
Sweden 28 Oktoba 2009
New Zealand 18 Novemba 2009
Hong Kong[15] 26 Novemba 2009

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Daughtry DAUGHTRY ON AMERICAN IDOL THIS WEEK; SUPPORT THE ONE CAMPAIGN | The Official Daughtry Site". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-13. Iliwekwa mnamo 2010-01-18. 
  2. "FMQB: Radio Industry News, Music Industry Updates, Arbitron Ratings, Music News and more!". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-18. 
  3. New Music Videos, Reality TV Shows, Celebrity News, Top Stories | MTV
  4. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-18. 
  5. "Preview of the track What About Now". Amazon.co.uk. Iliwekwa mnamo 2009-10-16. 
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-18. 
  7. "Tubridy thrilled with Toy Show figures". RTÉ Entertainment. 30 Novemba 2009. Iliwekwa mnamo 2 Desemba 2009. 
  8. http://www.bbc.co.uk/radio2/music/playlist/index.shtml
  9. Andrew MacDonald (2009-10-30). "Cheryl Cole Spend’s Second Week at Irish Number 1 Spot". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-14. Iliwekwa mnamo 2009-10-31. 
  10. http://www.bbc.co.uk/radio1/chart/singles/
  11. http://www.worldcharts.co.uk/world%20charts/european.htm
  12. http://www.mirror.co.uk/celebs/news/2009/10/26/ice-work-boys-115875-21773986/
  13. http://www.youtube.com/watch?v=bHK6Qvi5B9s
  14. http://www.amazon.de/What-About-Now-Westlife/dp/B002RWJIGQ/ref=sr_1_1?ie=UTF8&s=music&qid=1256728897&sr=8-1
  15. http://www.hmv.com.hk/product/singles.asp?sku=773525[dead link]