Eneo bunge la Gichugu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Gichugu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge manne katika Kaunti ya Kirinyaga.

Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988. Baina ya uchaguzi wa miaka za 1966 ahadi 1983 lilijulikana kama Eneo Bunge la Kirinyaga East .

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Kimamu Njiru Gichoya KANU Mfumo wa chama kimoja
1966 Bernard Kathanga KANU Mfumo wa chama kimoja
1969 Kimamu Njiru Gichoya KANU Mfumo wa chama kimoja
1974 Nahashon Njunu Njuno KANU Mfumo wa chama kimoja
1979 Nahashon Njunu Njuno KANU Mfumo wa chama kimoja
1983 Nahashon Njunu Njuno KANU Mfumo wa chama kimoja
1988 Godfrey Karekia Kareithi KANU Mfumo wa chama kimoja
1992 Martha Karua Democratic Party (DP)
1997 Martha Karua Democratic Party (DP)
2002 Martha Karua NARC
2007 Martha Karua PNU

Taarafa na Wadi[hariri | hariri chanzo]

Taarafa
Taarafa Idadi ya watu
Baragwi 21,711
Kabare 16,392
Karumandi 26,898
Kirima 23,696
Ngariama 20,253
Njukini 26,266
Jumla x
Wadi
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa Mamlaka ya Mtaa
Baragwi 9,697 Baraza la Mji wa Kirinyaga
Kabare 6,867 Baraza la Mji wa Kirinyaga
Karumandi 13,248 Baraza la Mji wa Kirinyaga
Kirima 11,658 Baraza la Mji wa Kirinyaga
Kutus Central 1,795 Manispaa ya Kerugoya/Kutus
Ngariama 10,251 Baraza la Mji wa Kirinyaga
Njuki-ini 10,747 Baraza la Mji wa Kirinyaga
Jumla 64,263
*Septemba 2005 | [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.