Kenya Data Networks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kenya Data Networks (KDN), ni kampuni binafsi ya mawasiliano ya data nchini Kenya Ndiyo kubwa zaidi ya kuwasilisha data mtoa na miundombinu nchini Kenya. KDN inaendesha mchanganyiko wa "microwave radio" na viungo miungano ya "fibre optic" huduma za kuwasilisha ya tabaka la pili ("Ehternet, Frame Relay") kwa wateja wao. Aidha, KDN huweka na kuhifadhi idadi "gateway" ya intaneti ya kimataifa, ambayo huuzia kwa wateja wke kama vile "ISP", yaani wanao wasilisha intaneti.

Maeneo ya biashara[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2006, KDN ilijulikana kama mwasilishi wa data mkubwa zaidi nchini Kenya na inajiendesha katika kiwango cha Telkom Kenya amboyo inaendeshwa na serikali. KDN ilianza biashara wakati ilipewa leseni ya kuwa mwendeshaji wa mtandao wa data kwa umma na tuume ya Mawasiliano ya Kenya mwaka wa 2003. Makao makuu ya kampuni ziko Mombasa Road, jijini Nairobi.

CCK pia imeipa KDN leseni ya kuwa loop opareta wa kienyeji na kutoa huduma za "fixed line". KDN pia inamiliki leseni ya "Gateway" ya kimataifa, ambayo inatumia kuuza muunganisho wa intaneti kwa kampuni zinazopeana huduma za intaneti.

Hapo awali, KDN ilimilikiwa na kampuni ya Uwekezaji wa Sameer - ambayo inamiliki idadi ya makampuni ya Kenya na mengine ya Afrika - na mwekezaji wa kibinafsi, Kai Wulff. Tarehe 1 Machi 2008, kampuni ya Afrika Kusini, Altech ilinunua 51% skatika KDN, na Kai Wulff aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji. Mbiu ya KDN ni "Keep the data flowing".

Miundombinu[hariri | hariri chanzo]

Microwave radio[hariri | hariri chanzo]

KDN ilianza kwa kutoa miundombinu kwa kupitia "microwave radio" na mtindo wa "hub-and-spoke". Kwa sasa, inaendesha idadi ya vituo vya msingi mjini Nairobi, Mombasa na mashambani (Embu, Meru, Kisumu, Diani, Malindi,nk), ambayo yameunganishwa kupitia "directed radio backhauls". Teknolojia hii hatimaye itabadilishwa na miundombinu ya "fiber-optic".

Mtandao wa Fibre Optic[hariri | hariri chanzo]

KDN imeeneza mtandao mkubwa zaidi wa fibre optic katika eneo hili. Na zaidi ya kilometa 500 ya kamba ya fibre optic ya Metropolitanmjini Nairobi, 50 katika Kisumu na Mombasa na 20 katika Nakuru, Eldoret na Tika, KDN imeenea katika miji muhimu nchini Kenya. Uti wa mgongo mkuu nchini, kutoka Mombasa (kupitia Voi, Nairobi, Nakuru na Eldoret) mpaka Malaba (mpaka wa Kenya-Uganda) ulimalizwa mwaka wa 2006 na sasa KDN inapanga kutengeneza "redundant links". Hizi zitaunda mchoro wa nambari nane kwenye uti wa mgongo mkuu. Awamu ya kwanza inaunganisha Malaba na Nakuru kwa kupitia Busia, Kisumu, Kisii, Kericho na Njoro. Kisha muunganisho kutoka Nakuru hadi Nairobi inatumia muunganisho iliopitia Nyahururu, Nyeri na Thika ikielekea Nairobi kama akiba. Mtandao kutoka Nairobi hadi Mombasas nayo intumia ile imepiria Thika, Garissa, Garsen na Malindi ikielekea Mombasa kama Akiba.

Kamba hio ya fibre optic pia huzungu Kenya huku ikiunganisha Nanyuki, Meru na Embu. Kamba hii ya fibre kwa sasa ndio mlingoti mkuu ya WiMAX 70 katika vituo mbalimbali nchini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]