Anoreksia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anoreksia inaweza kurejelea:


Hali ya kula


  • Anoreksia (dalili), ni dalili ya ukosefu wa hamu ya kula chochote kile kiko
  • Anoreksia navosa, hali ya ulaji usio wa kawaida kwa kupoteza uzito wa mwili kupindukia na pia kuwa na wasiwasi mwingi usiostahili kuhusu umbo la mwili
  • Anoreksia "ya miujiza", haswa kwa wanawake wazima na hamadi ambao hujinyima chakula, wakati mwingine hadi kifo, kwa jina la Mungu


Mahusiano


  • Anoreksia ya kingono, ni neno linalotumika kuelezea ukosefu wa "hamu" ya mwingiliano wenye vitendo vya kufanya mapenzi
Muziki




Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.