Single (wimbo wa New Kids on the Block na Ne-Yo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Single”
“Single” cover
Single ya New Kids on the Block na Ne-Yo
kutoka katika albamu ya The Block na Year of the Gentleman
Imetolewa 12 Agosti 2008
Muundo Digital download, CD single
Imerekodiwa 2008
Aina Pop/R&B
Urefu 3:55
Studio Interscope
Mtunzi Shaffer Chimere Smith, Polow-Freache Jamal Fincher Jones
Mtayarishaji Polow da Don, kwa ushirikiano na Ne-Yo, Adam Messinger
Mwenendo wa single za New Kids on the Block
"Summertime"
(2008)
"Single"
(2008)
"Dirty Dancing"
(2008)
Mwenendo wa singles za Ne-Yo
"Miss Independent"
(2008)
"Single"
(2008)
"Camera Phone"
(2008)
Alternate cover
Digital cover
Digital cover

"Single" ni wimbo wa pili katika albamu ya tano ya kundi la muziki la New Kids on the Block, The Block, ambao umeimbwa pamoja na Ne-Yo.

Wimbo ulitolewa mnamo tar. 12 Agosti ya mwaka 2008, ukiwa kama wimbo wa kupakua mtandaoni. Kwa mujibu wa allaccess.com, wimbo uliiangiliana na redio mnamo 2 Septemba 2008, ambamo ni tarehe sawa iliyotoka albamu hiyo. Wimbo ulitolewa ukiwa kama CD single nchini UK mnamo 11 Novemba 2008.

Ne-Yo naye ameingiza toleo aliloimba peke yake na kuitia katika orodha ya nyimbo zake za albamu ya Year of the Gentleman ambamo wimbo una urefu wa 4:18.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Wimbo ulishika nafasi ya 72 katika chati za Canadian Hot 100 na tangu hapo ikaja kushika nafasi ya 42 hadi kutoka kwake.[1] Kwa U.S. imeingia katika chati za Pop 100 ikiwa nafasi ya 86, lakini baadaye ikajikongoja na kufikia nafasi ya 56.[2]

Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
Canadian Hot 100[3] 42
South Korean International Singles Chart 3
U.S. Billboard Bubbling Under Hot 100 Singles[4] 7
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[5] 29
U.S. Billboard Top 40 Mainstream 39
U.S. Billboard Pop 100[6] 56
UK Singles Chart[7] 81

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Single (wimbo wa New Kids on the Block na Ne-Yo) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.