Usher (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Usher
Usher Cover
Studio album ya Usher
Imetolewa 30 Agosti 1994
Imerekodiwa 1993-1994
Aina R&B, pop
Lebo LaFace, Arista
Mtayarishaji Sean "Puffy" Combs, Chucky Thompson, Eddie F, DeVante Swing, Dave Hall
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Usher
Usher
(1994)
My Way
(1997)
Single za kutoka katika albamu ya Usher
  1. "Can U Get Wit It"
    Imetolewa: 1994
  2. "Think of You"
    Imetolewa: 1995
  3. "The Many Ways"
    Imetolewa: 1995


Usher ni albamu ya kwanza ya mwimbaji wa R&B-pop wa Marekani - Usher. Albamu ilitolewa mnamo tar. 30 Agosti 1994 na studio ya LaFace Records na Arista Records.

Albamu ilipata kushika nafasi ya kwanza kwenye cha za Billboard 200 Bora. Usher pia ameshiriki kuandika mimbo minne ya albamu hii. Licha ya kupata mafanikio makubwa ya single zake, ni moja kati ya albamu zake zilizouza nakala ndogo iliyochini ya 50,000 kwa ujumla.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "I'll Make It Right"
  2. "Interlude 1"
  3. "Can U Get Wit It"
  4. "Think of You"
  5. "Crazy"
  6. "Slow Love"
  7. "The Many Ways"
  8. "I'll Show You Love"
  9. "Interlude 2 (Can't Stop)"
  10. "Love Was Here"
  11. "Whispers"
  12. "You Took My Heart"
  13. "Smile Again" (wimbo wa ziada)
  14. "Final Goodbye" (wimbo wa ziada)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Usher (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.