William Hanna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Hanna
William Hanna.
William Hanna.
Jina la kuzaliwa William Denby "Bill" Hanna
Alizaliwa 14 Julai 1910
Alikufa 22 Machi 2001
Nchi Marekani
Kazi yake Mwanakatuni
Mtaarishaji
Mwongozaji

William Denby "Bill" Hanna (14 Julai 191022 Machi 2001) alikuwa mwundaji wa vikatuni, mwongozaji, mtaarishaji, na mwanzilishi-mshirilki, pamoja na Joseph Barbera, wa Hanna-Barbera studio kutoka nchini Marekani. Studio ya Hanna-Barbera imaetaarisha katuni nyingi tu maarufu, ikiwemo ile ya The Huckleberry Hound Show, The Flintstones, The Jetsons, Scooby-Doo vile vile muziki wa filamu, Charlotte's Web.

Ona pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Hanna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.