Ibadan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Ibadan katika jimbo la Oyo nchini Nigeria

Ibadan (kwa Kiyoruba Ìbàdàn, kirefu (Ìlú) Ẹ̀bá-Ọ̀dàn, (mji kwenye) ombwe la mbuga) ni mji mkubwa wa tatu wa Nigeria wenye wakazi 3,800,000 (kadirio 2007) na wengi wao ni Wayoruba. Ni mji mkuu wa jimbo la Oyo.

Uko katika Nigeria ya kusini-magharibi, takriban kilometa 125 kutoka Lagos.

Kihistoria ulikuwa kitovu cha Nigeria yote ya magharibi ikiwa makao makuu ya jimbo la magharibi baada ya uhuru wa nchi.

Mji ulianzishwa mwaka 1829 kama makao makuu ya wafalme wa Wayoruba.

Watu wa Ibadan[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ibadan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.