Bajeti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Kama Sisifo", mchoro wa Honoré Daumier, Brooklyn Museum, Marekani.

Bajeti (kutoka Kiingereza: "budget") ni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha katika kipindi fulani ili kuhakikisha mipango inafanikiwa kwa wakati uliotarajiwa.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bajeti kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.