Nenda kwa yaliyomo

Zulema Tomás

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elizabeth Zulema Tomás Gonzales (amezaliwa 4 Julai 1962) ni daktari bingwa wa usingizi wa moyo na mishipa ya damu (cardiovascular anaesthesiologist) kutoka Peru. Aliwahi kuhudumu kama Waziri wa Afya wa Peru kuanzia 7 Januari hadi 15 Novemba 2019.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Zulema Tomás alizaliwa tarehe 4 Julai 1962 katika jiji la Lima, akiwa binti wa afisa wa Polisi ya Kitaifa ya Peru. Alisoma katika Shule ya Alipio Ponce iliyopo Barrios Altos kwa elimu yake ya msingi na sekondari.[1]

  1. Vivas, Fernando (2019-01-30). [(https://web.archive.org/web/20190202042501/https://elcomercio.pe/politica/duela-perfil-ministra-salud-zulema-tomas-noticia-602527) "Para que no nos duela: un perfil de la ministra de Salud Zulema Tomás"] [So That it Doesn't Hurt: A Profile of the Minister of Health Zulema Tomás]. El Comercio (kwa Spanish). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(https://elcomercio.pe/politica/duela-perfil-ministra-salud-zulema-tomas-noticia-602527) chanzo] mnamo 2019-02-02. Iliwekwa mnamo 2021-08-09. {{cite news}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zulema Tomás kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.