Zuleikha Hassan
Mandhari
Zuleikha Hassan ni mwanasiasa wa Kenya. Ni mwanachama wa Orange Democratic Movement (ODM) na ni Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti ya Kwale County pamoja na Mbunge katika National Assembly of Kenya.
Miaka ya awali na elimu
[hariri | hariri chanzo]Hassan alisoma katika Coast Academy na Gaborone Junior Centre ambako alipata elimu ya O-Level. Aliendelea na masomo ya sekondari katika Legae Academy, Gaborone, Botswana. Ana shahada ya kwanza katika Maendeleo na Mabadiliko ya Kijamii kutoka University of Cape Town, South Africa.[1][2][3][4][5][6][7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "WATCH: MP thrown out of Kenyan parliament after bringing her 5-month-old to work". News24 (kwa Kiingereza). 2019-08-08. Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
- ↑ "Kenya: Female MP removed from parliament for bringing baby". www.aljazeera.com. Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
- ↑ "This Kenyan MP Was Kicked Out of Parliament for Bringing Her Baby". OkayAfrica (kwa Kiingereza). 2019-08-07. Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
- ↑ "Kenyan MP and baby ejected from parliament session". The Guardian (kwa Kiingereza (Uingereza)). Associated Press. 2019-08-08. ISSN 0261-3077. Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
- ↑ Mureithi, Carlos; Specia, Megan (2019-08-07). "Lawmaker Kicked Out of Kenyan Parliament for Taking Baby to Work". The New York Times (kwa American English). ISSN 0362-4331. Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
- ↑ "Kenyan MP with baby ordered to leave parliament" (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2019-08-07. Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
- ↑ Kimeria, Ciku (12 Agosti 2019). "The entrenched patriarchy of Kenyan politics kicked out an MP for bringing her baby to parliament". Quartz Africa (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-12-03.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |