Zul Kifl Salami
Mandhari
Zul Kifl Salami ni mwanasiasa wa Benin. Aliwahi kuwa waziri katika serikali ya PRPB. Pia ana shahada ya uzamivu (PhD) katika uchumi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "BBCAfrique.com | Présidentielle 2006 au Bénin". www.bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 2026-05-14.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zul Kifl Salami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |