Zozibini Tunzi
Mandhari

Zozibini "Zozi" Bolowana (alizaliwa 18 Septemba, 1993) ni mwanamitindo, mwigizaji, na mshindi wa mashindano ya urembo kutoka nchini Afrika Kusini, alishiriki mashindano ya Miss Universe 2019. Baada ya kutwaa ushindi wa mashindano ya Miss South Africa 2019.
Pia yeye ni mwanamke wa tatu kutoka Afrika Kusini kushinda taji hilo na mwanamke mweusi wa kwanza wa Afrika Kusini kupewa heshima hiyo.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Wilson, Samantha (8 Desemba 2019). "Zozibini Tunzi: 5 Things To Know AboutMiss Universe 2019". Hollywood Life.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Retrieved 10 December 2019 - ↑ "Women's Day messages from Miss SA finalists". IOL. 9 Agosti 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) Retrieved 10 December 2019
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zozibini Tunzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |