Zohadie Bardaie
Mandhari
Muhamad Zohadie bin Bardaie ni kiongozi wa kitaaluma nchini Malaysia, Makamu Mkuu wa nne wa Chuo Kikuu cha Putra Malaysia (UPM), akihudumu kuanzia tarehe 18 Aprili 2001 hadi 31 Desemba 2005. Kwa sasa Muhamad ni mmoja wa Makamu Wakuu wa Heshima watatu wa UPM; wengine wawili ni Tengku Amir Shah na Peter Chin Fah Kui.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zohadie Bardaie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |