Zoalize Jansen van Rensburg
Mandhari
Zoalize Jansen van Rensburg (alizaliwa 28 Oktoba, 2005) ni mshindi wa mashindano ya urembo kutoka nchini Afrika Kusini, ambaye alitunukiwa taji la Miss World South Africa 2024. Alimwakilisha Afrika Kusini katika mashindano ya Miss World yaliyofanyika nchini Poland, ingawa hakufanikiwa kuingia miongoni mwa washindi.[1][2]
Zoalize ni mshiriki mdogo zaidi kuwahi kushinda taji hilo. Katika mashindano haya, alishinda changamoto ya Best Designer Dress. Zaidi, awali alikuwa 1st Runner-up katika shindano la Miss World South Africa 2023.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "5 Minutes with Miss World SA Zoalize Van Rensburg". TimesLIVE (kwa Kiingereza). 2024-10-17. Iliwekwa mnamo 2025-11-02.
- ↑ "PressReader.com - Digital Newspaper & Magazine Subscriptions". www.pressreader.com. Iliwekwa mnamo 2025-11-02.
- ↑ "5 Minutes with Miss World SA Zoalize Van Rensburg". TimesLIVE (kwa Kiingereza). 2024-10-17. Iliwekwa mnamo 2025-11-02.
- ↑ "5 Minutes with Miss World SA Zoalize Van Rensburg". TimesLIVE (kwa Kiingereza). 2024-10-17. Iliwekwa mnamo 2025-11-02.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zoalize Jansen van Rensburg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |