Zoë Robins
Mandhari
Zoë Robins (alizaliwa Lower Hutt, Wellington, Nyuzilandi[1], 1993) ni mwigizaji kutoka Nyuzilandi. Aliigiza kama Hayley Foster katika tamthilia ya Power Rangers: Ninja Steel na Nynaeve al'Meara katika tamthilia ya The Wheel of Time.
Kazi
[hariri | hariri chanzo]Zoë Robins alianza kuigiza akiwa na umri wa miaka 12 kwa kucheza kwenye kipindi cha tamthilia ya The New Tomorrow (2005)[2]. Alihudhuria mafunzo ya uigizaji huko Auckland[3]. Na kazi yake ya uigizaji ya kwanza akiwa kama White ranger katika tamthilia ya Power Rangers Ninja Steel. Mnamo Agosti 2019 alivaa uhusika wa kama Nynaeve al'Meara katika tamthilia iitwayo The Wheel of Time[4][5].
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Zoë Robins ana mtoto mmoja wa kiume[6].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Time for the Big Time", It's About Time, University of Arkansas Press, ku. 57–70, iliwekwa mnamo 2025-04-26
- ↑ "Time for the Big Time", It's About Time, University of Arkansas Press, ku. 57–70, iliwekwa mnamo 2025-04-26
- ↑ Scham, Sandra Arnold (2009-03-27), ""Time's Wheel Runs Back"", Cosmopolitan Archaeologies, Duke University Press, ku. 166–183, ISBN 978-0-8223-9242-2, iliwekwa mnamo 2025-04-26
- ↑ Gann, Kyle (2017-04-20). "Who Could Speak If Every Word Had Meaning?". University of Illinois Press. doi:10.5406/illinois/9780252035494.003.0006.
- ↑ "Podcast: Rosamund Pike in Radioactive, and the resurgence of Russian science". Nature. 2020-03-18. doi:10.1038/d41586-020-00810-1. ISSN 0028-0836.
- ↑ Robins, Jamie (2022-10-01). "Interview with Jamie Robins". Observational Studies. 8 (2): 37–76. doi:10.1353/obs.2022.0008. ISSN 2767-3324.
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zoë Robins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |