Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Kisiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ziwa Kisiba ndani ya kasoko ya mlima wake.

Ziwa Kisiba linapatikana kwenye wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya nyanda za juu kusini mwa Tanzania. Ziwa hili limetokana na mlipuko wa volkeno, hivyo liko ndani ya kasoko ya mlima.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]