Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Delcommune

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Delcommune (kwa jina la Alexandre Delcommune) au Nzilo ni ziwa bandia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Jiografia

[hariri | hariri chanzo]

Maji yanazuiliwa na lambo la Delcommune kwenye Mto Lualaba, karibu na Kolwezi katika mkoa wa Katanga.

Ziwa hilo hutokeza maji kwa ajili ya mtambo wa umeme wa maji wa Nzilo.

Aina kuu za samaki katika ziwa ni: Labeo, Barbus, Clarias, Tilapia.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Delcommune kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.