Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Balengwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ziwa Balengwa ni ziwa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambalo liko karibu na mto Lwekali unapoingia kwenye mto Tshwapa.

Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Balengwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.