Nenda kwa yaliyomo

Zhang Zilin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zhang Zilin (alizaliwa Machi 22, 1984) ni mwigizaji, mwimbaji, mwanamitindo, na mrembo wa China.Aliyetwaa taji la Miss World mwaka 2007 alitawazwa na mtangulizi wake Miss World 2006 Taťána Kuchařová.Hapo awali alitwaa taji la Miss China World 2007.[1]

  1. "Celebrity news, interviews, video and more - MSN Entertainment". Entertainment.malaysia.msn.com. 2015-06-27. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-17. Iliwekwa mnamo 2015-12-15.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zhang Zilin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.