Nenda kwa yaliyomo

Zeb Soanes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zeb Soanes (Alizaliwa 24 Juni, 1976) ni mtangazaji wa redio nchini Uingereza, anayeongoza kipindi cha jioni cha Relaxing Evenings with Zeb Soanes kwenye Classic FM.[1]

  1. "Zeb Soanes". Classic FM.