Zbyněk Berka wa Dubá
Mandhari
Zbyněk Berka wa Dubá (1551 – 6 Machi 1606) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki, kardinali, na Askofu Mkuu wa kumi wa Prague. Alikuwa mwanachama wa familia ya Berka wa Dubá na mkuu wa shirika la kidini la Knights of the Cross with the Red Star.[1]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Archbishop Zbynék Berka z Dubé a Liepé [Catholic-Hierarchy]". catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2021-06-04.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |