Nenda kwa yaliyomo

Zaza Rising

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zaza Rising ni filamu fupi ya Rwanda ya mwaka 2017 iliyotayarishwa na Lena Strothe. [1][2]

Muhtasari

[hariri | hariri chanzo]

Christine Nyirahabimana, anaanzisha kiwanda kidogo cha kuoka mikate katika maeneo ya vijijini ya Rwanda na kuajiri akina mama 10 walio na VVU na wasio na waume kama wafanyakazi wake. [3] Anatia msukumo kama mfano wa jinsi mtu mmoja anavyoweza kuondoa umaskini licha ya matatizo yote.[4]

  1. Zaza Rising - Women's Voices Now
  2. Dances With Films - Zaza Rising — We are moving stories
  3. ZAZA RISING - DANCES WITH FILMS
  4. The Vineyard Gazette - Martha's Vineyard News | Documentary Rises to the Challenge