Zakaria Bakradze
Mandhari
Zakaria (Shakro) Bakradze (alizaliwa tarehe 22 Oktoba 1868, huko Tbilisi - 3 Desemba 1938) alihudumu kama afisa wa kijeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia katika Jamhuri ya Georgia.
Familia na elimu
[hariri | hariri chanzo]Zakaria Bakradze alizaliwa katika familia ya Dimitri Bakradze , ambaye alikuwa mwanahistoria mashuhuri wa Georgia. Alisoma na kumaliza masomo yake katika Tiflis Cadet Corps mwaka 1890, kisha akajiunga na Moscow Infantry Cadet School, ambapo alifundishwa masuala ya kijeshi na hatimaye kuingia katika 10th Infantry Regiment. Baadaye, alikamilisha mafunzo yake katika shule ya Officer Rifle School.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zakaria Bakradze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |