Nenda kwa yaliyomo

Zahida Hina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Zahida Hina ni mwandishi mashuhuri wa safu za magazeti (columnist), insha, hadithi fupi, riwaya na tamthilia kutoka Pakistan.

Anaandika kwa lugha ya Kiurdu na anahesabiwa miongoni mwa waandishi wenye ushawishi mkubwa katika fasihi na uandishi wa habari nchini Pakistan.[1]

  1. Ashraf Hanif (2009-11-04), Aaj TV Success Story Zahida Hina Part02, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-12, iliwekwa mnamo 2019-03-26
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zahida Hina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.