Nenda kwa yaliyomo

Zachary Ellis-Hayden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ellis-Hayden akichezea Orlando City B mwaka 2016.

Zachary Ellis-Hayden (alizaliwa Kanada, Machi 1, 1992) ni mchezaji wa kitaalamu wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama mlinzi kwa timu ya BVB IA Waterloo katika Ligi ya kwana ya Ontario.

Aliichezea timu ya taifa ya Barbados katika ngazi ya kimataifa.[1][2]

  1. "Orlando City B acquires defender Zach Ellis-Hayden and goalkeeper Jake Fenlason". WFTV. Machi 3, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Waterloo United Speaker Series Presents: Zachary Ellis-Hayden". Waterloo Minor SC. Desemba 7, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zachary Ellis-Hayden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.