Zacatecas, Zacatecas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Mji wa Zacatecas, ZacatecasZacatecas
Nchi Mexiko
Jimbo Zacatecas
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 132,035
Tovuti:  www.capitalzacatecas.gob.mx

Zacatecas ni mji mkuu katika jimbo la Zacatecas. Idadi ya wakazi ni 132,035 (2005). Iko kati ya nchi Mexiko. Eneo lake ni 443.9 km².

Mji upo m 2,500 kutika juu ya usawa wa bahari.

Mji ulinazishwa na Juan de Tolosa mwaka 1531. Chuo kilianzishwa na Wafransisko mwaka 1616.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Zacatecas, Zacatecas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.