Yvonne Tsikata
Mandhari
Yvonne Tsikata ni mtaalamu wa uchumi kutoka Ghana.
Kwa sasa anahudumu kama Makamu Rais na Katibu Mkuu wa Benki ya Dunia. Awali alihudumu kama Mkuu wa Watumishi na Mkurugenzi wa Ofisi ya Rais wa Shirika la Dunia la Benki.[1] Yvonne pia alikuwa mkurugenzi wa sekta ya Upunguzaji wa Umaskini na Idara ya Usimamizi wa Uchumi katika Kanda ya Ulaya na Asia ya Kati.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "World Bank, IMF officials pray for smooth event in Bali". The Jakarta Post (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-03-02.