Nenda kwa yaliyomo

Yves Ramousse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yves Ramousse (23 Februari 192825 Februari 2021, Montauban) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa, mwanachama wa Jumuiya ya Misheni za Ng'ambo ya Paris (MEP), na Askofu Mstaafu wa Vikariati Apostoliki ya Phnom Penh, Kambodia tangu mwaka 2001.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.