Nenda kwa yaliyomo

Yves Montand Niyongabo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yves Montand Niyongabo ni mwongozaji wa filamu mwenye asili ya Burundi na Rwanda.[1][2][3][4]

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Yves alizaliwa na kukulia nchini Burundi. Baadaye alihamia nchini Rwanda ambapo aliacha masomo ya sheria na kuingia kwenye uandaaji wa filamu.[5] Amefanya kazi kama mratibu wa uzalishaji wa filamu ya Munyurangabo ya mwaka 2017. Mnamo mwaka 2010, Niyongabo alichaguliwa kushiriki warsha ya filamu iliyoandaliwa na CPH:Dox nchini Denmark.[6]

  • Maibobo (2010)[7]
  • Slim Land (2012)[8]
  • Giti – Paradise in Hell (2014)[9][10]
  • The Invincible (2014)[11][12]
  • Munyurangabo[6]
  • Organisation internationale de la Francophonie (OIF) Prize, 2013
  • Tuzo za Mwandishi Bora wa Muswada za Goethe Institut , 2013[13]
  1. ↑ "Niyongabo quit law school for 'invincible' career in film making". The New Times (kwa Kiingereza). 2013-12-22. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  2. ↑ "Yves Montand Niyongabo wins Goethe Institut best scriptwriter award". The New Times (kwa Kiingereza). 2013-06-28. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  3. ↑ "Niyongabo quit law school for 'invincible' career in film making". The New Times (kwa Kiingereza). 2013-12-22. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  4. ↑ "Maibobo". IFFR EN (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  5. ↑ "Rwandan filmmakers paying tribute to a dark past". Rwanda Today (kwa Kiingereza). 2021-06-02. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  6. 1 2 "Yves Montand Niyongabo | IFFR". iffr.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-02-29. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  7. ↑ "Maibobo". IFFR EN (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  8. ↑ Eric J. Lyman (2012-12-05). "Venice's Biennale College Filmlab Selects 15 Semi-Finalist Projects". The Hollywood Reporter (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  9. ↑ "Docsociety: Home Page - Doc Society". docsociety.org. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  10. ↑ "Zim Film Fest | Screening - MAIBOBO". www.zimfilmfest.co.zw. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-18. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  11. ↑ Tuyisenge, Espoir, Rethinking Reconciliation winners' Films Premiere & Award Gala at Kigali Serena Hotel, free entrance - Inyarwanda.com (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2026-05-20
  12. ↑ "The Invincible | African Film" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2026-05-14. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
  13. ↑ "allAfrica.com: Rwanda: Yves Montand Niyongabo Wins Goethe Institut Best Scriptwriter Award". allafrica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-05-20.