Nenda kwa yaliyomo

Yves Congar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yves Marie-Joseph Congar O.P. (13 Aprili 190422 Juni 1995) alikuwa mtawa wa Kifaransa wa Shirika la Wadominiko, padri, na mwana teolojia. Anajulikana zaidi kwa ushawishi wake katika Mtaguso wa Pili wa Vatikani na kwa kufufua hamasa ya kitheolojia kuhusu Roho Mtakatifu katika maisha ya waumini na Kanisa. Aliteuliwa kuwa kardinali wa Kanisa Katoliki mwaka 1994.[1]

  1. "Obituaries: Cardinal Yves Congar; Reformist Theologian". Los Angeles Times. 26 Juni 1995. uk. WVA14.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.