Yusra Al Barbari
Mandhari
Yusra Al Barbari (1923–2009) alikuwa mwalimu na mwanaharakati wa Palestina alikuwa mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Palestina (Palestine National Council) na Chama cha Ukombozi wa Palestina (Palestine Liberation Organization - PLO).
Maisha ya mapema na elimu
[hariri | hariri chanzo]Al Barbari alizaliwa katika Jiji la Gaza mnamo tarehe 15 Aprili 1923.[1] Alitokea katika familia ya Kiislamu. Wazazi wake walikuwa Ibrahim Al Barbari, ambaye alikuwa mfanyabiashara, na Labiba Mahmud Halawah, na alikuwa na kaka wawili na dada wawili.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 "Feminist Figures. Yusra Al Barbari". Interactive Encyclopedia of the Palestine Question. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2023.
citing Mahdi Abdul Hadi. (ed.) (2006). Palestinian Personalities: A Biographic Dictionary. (2nd ed.) Jerusalem: Passia Publication
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yusra Al Barbari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |