Yuri Malyshev
Mandhari
Yuri Vasilyevich Malyshev (27 Agosti 1941 – 8 Novemba 1999) alikuwa mwanaanga wa Kisovyeti aliyeshiriki katika misheni za Soyuz T-2 (5–9 Juni 1980) na Soyuz T-11 (3–11 Aprili 1984).[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Air Force Magazine, Volume 78, Issues 2-12 (kwa Kiingereza). Washington DC: USAF. 1995. uk. 27.
- ↑ Lebedev, Yuri. "Малышев Юрий Васильевич". www.warheroes.ru. Iliwekwa mnamo 2020-01-13.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yuri Malyshev kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |