Yuan Longping
Mandhari
Yuan Longping ( 7 Septemba 1930 – 22 Mei 2021) alikuwa Mchina mtaalamu wa kilimo na mvumbuzi. Alikuwa mwanachama wa Chinese Academy of Engineering na alijulikana kwa kuendeleza aina za kwanza za mpunga chotara katika miaka ya 1970, ikiwa sehemu ya Mapinduzi ya Kijani katika kilimo.[1] Kutokana na mchango wake huo, Yuan alijulikana kama “Baba wa Mpunga Chotara”.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Bradsher, Keith; Buckley, Chris (Mei 23, 2021). ["Yuan) Longping, Plant Scientist Who Helped Curb Famine, Dies at 90". The New York Times. [Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 26, 2021. Iliwekwa mnamo 26 Mei 2021.
{{cite news}}: Check|archive-url=value (help); Check|url=value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)](https://web.archive.org/web/20210526013958/https://www.nytimes.com/2021/05/23/world/asia/yuan-longping-dead.html|url-status=live}}) - ↑ {{cite web|year=2004|title=Dr. Monty Jones and Yuan Longping|url=[[World(https://www.worldfoodprize.org/en/laureates/20002009_laureates/2004_jones_and_yuan/|access-date=2017-10-24|publisher=World) Food Prize|archive-date=June 25, 2020|archive-url=(https://web.archive.org/web/20200625025623/https://www.worldfoodprize.org/en/laureates/20002009_laureates/2004_jones_and_yuan/|url-status=live}})
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yuan Longping kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |