Yuan-Cheng Fung
Mandhari
Yuan-Cheng "Bert" Fung (Septemba 15, 1919 – Desemba 15, 2019) alikuwa mhandisi wa baiolojia (bioengineer) na mwandishi mwenye asili ya China na uraia wa Marekani. Alihesabiwa kama mwanzilishi wa uhandisi wa baiolojia, uhandisi wa tishu , na "Mwanzilishi wa Biomechanics ya Kisasa."[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ YC “Bert” Fung: The Father of Modern Biomechanics (pdf) Archived 2007-12-02 at the Wayback Machine
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yuan-Cheng Fung kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |