Nenda kwa yaliyomo

Yu Wenxia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yu Wenxia (alizaliwa Julai 5, 1989) ni mwigizaji, mtangazaji wa TV, mwimbaji, mwanamitindo, na mrembo wa China aliyeshinda Miss World mwaka 2012 huko Ordos City,Mongolia ya Kichina, akiwa mwanamke wa china wa pili kushinda taji hilo baada ya Zhang Zilin mwaka 2007. Alitawazwa na mtangulizi wake Miss World 2011, Ivian Sarcos.[1][2]

  1. ↑ "Miss China crowned Miss World 2012". Aruba Today. 20 Agosti 2012. uk. 30. Iliwekwa mnamo 18 Februari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "Miss World 2013 – Magic Flute Trio: Wenxia Yu, Erin Holland (Australia) and Vania Larissa (Indonesia)". YouTube. 8 Oktoba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yu Wenxia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.