Yozgat

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:58, 10 Machi 2013 na Addbot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 32 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q210292 (translate me))

Yozgat (pia Yuzgat au Yuzgad, Kiarmenia: Յոզգաթ), zamani uliitwa Bozok ni mji uliopo nchini Uturuki. Pia, huu ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Yozgat katika Kanda ya Anatolia ya Kati nchini Uturuki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 113,614 of ambao wengine 73,930 wanaishi kati-kati ya mji wa Yozgat.[1][2]

Marejeo

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yozgat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.