Yozei wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Yozei

Yozei (2 Januari, 86923 Oktoba, 949) alikuwa mfalme mkuu wa 57 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sadaakira, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Seiwa. Mwaka wa 876 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kutolewa enzini mwaka wa 884, kwa ajili ya kupoteza akili. Aliyemfuata kama Tenno ni mjomba wa babake, Koko.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yozei wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.